Nani alieshinda pesa nyingi M-Bet

Ivi naomba kuuliza ....kwamfano ukiwa stake buku ,, alafu labda ukaweka mechi 5 ....inabidi ulipie ticket elfu tano au iyo iyo buku tu??
 
Binafsi nimewahi kupata 169237/= kwa buku.Elf 60,32000/,22657 na vielf kumi kumi ni vya kawaida though NIPO KTK GAME KITAMBO NA VIPIGO NAVYO VIPO VYA KUTOSHA!
Jmosi nimeongeza 70,867/= kwa buku jana kaponea kwa liverpool.NJE YA HAPO 356915/ingekuwa ktk m pesa muda huu
Aisee inaonekana una uzoefu tusaidie kutuwekea mikeka huku na sie tubahatishe
 
1473277909345.jpg
 
binafsi si bet ila naambiwaga kuna mshikaj kampiga mhindi 50ml....kuna mwingine miez kama tano iliyopita alidaka laki 5....taarifa za wanaokula ni wachache ukilinganisha na wanaoliwa.....watu wa mikeka poleni sijashawishika bado ila navikumbuka vijero vyangu viwili.....sikurudia tena
 
dah kanji ashanichapa mno,, cha ajabu hata nikiweka mkeka wa kula 3000 ananibania,,, hii ndo risk business ever,,
 
Me nachezea mswak kila leo ila c o kes waa nin.. waswahil husema penye nia nauwekezaj uwezi kufel kwhyo one day yes!..... ,, au sio wananguuuuuuu
 
Binafsi nimewahi kupata 169237/= kwa buku.Elf 60,32000/,22657 na vielf kumi kumi ni vya kawaida though NIPO KTK GAME KITAMBO NA VIPIGO NAVYO VIPO VYA KUTOSHA!
Jmosi nimeongeza 70,867/= kwa buku jana kaponea kwa liverpool.NJE YA HAPO 356915/ingekuwa ktk m pesa muda huu
Mkuu andika vizuri au kweli ulishinda Elfu 60,32000?
Hiyo ni 6,032,000? au billion 6 na ushee?
 
mi hela kubwa kula ilikuwa 1.2m nyingine ni laki7 laki6 na nimemla sana mhindi ...na ukitaka kumla mhindi weka kuanzia 50k hachomoki game zisizidi 6 na usiwe na tamaa ya hela utamla kila week end ....kwa mfano unaweza weka laki ukaweziwekea team giant tupu lazima ule kwenye laki 3 hivi......hua kila week end lazima aliwe week chend iliyopita niliziwekea arsenal,mutd,leicester,juve,zanit ,chelsea pamoja na everton nikawala laki 6 na nusu niliweka 70k ...ila hela ilipatikana kwa jasho namshukuru rashford ilikua tayari nishaliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom