Nani alieshinda pesa nyingi M-Bet

wadau habari zenu. embu tuone nan aliepata kitita kikubwa cha pesa hapa ndani. Mimi buku Tisa. huwaga na weka mkeka was buku tuu sizidishi. ila hii kitu imenisaidia kiasi japo naliwa
Daaaah umenikumbusha mbali sana mkuu.

Siku ya kwanza jamaa kanifundisha kubet tukiwa tunachek mechi nikaweka dau la 5000.
Nilicheza kupitia simu ya tochi tu.

Sikufuatilia hata matokeo,kesho yake nimekaa na wafanyakazi wenzangu nikaona text ya M-PESA TSH.482,000/=.
Hakika ilikua cku njema sana kwangu.

Baada ya hapo ilinichukua takribani wiki moja kula tena.
 
Kiwango cha juu kabisa kuwin m bet ilikuwa 108,000 kwa dau la 5000
msimu wa 2014/2015 game zilikuwa 4 tu
R.MADRID WIN
CHELSEA WIN
CRYSTAL PALACE WIN (vs liverpool 3-1)
MAN U D (vs Sunderland 1-1)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom