Nani alieanzisha chama cha CUF

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
naomba tuhabarishane ukweli hiki cha cha cuf ni watu gani walioanzisha na kuja kumfikia seif sharifu kuwa ni mwenye chama kindakindaki.
mimi kumbukumbu zangu seif hakukianzisha hicho chama kuna watu kama sikosei kutoka nzega.
mwenye kuelewa vizuri atudadavuliwe vizuri tuelewe.

nawasilisha wadau
 
  • CUF ni muungano wa vyama viwili KAMAHURU cha Zanzibar kilichokuwa chini ya seif shariff hamad na Chama cha Wananchi (CCW cha James Mapalala Tanzania bara.
 
kama sikosei ni james mapalala na wanyamwezi wenzake, kasanga tumbo na wengineo. mwenye kumbukumbu nzuri atujuze.
 
Kwani walioanzisha chama cha TAA kilichozaa TANU na baadaye CCM ni akina nani mpaka kumfikisha nyerere kuwa ni mwenye chama kindakindaki?
hoja yako ipo tofauti na mada TAA na vyama vingine viliungana na kuwa TANU .
sasa nakuuliza CUF nani alieanzisha
 
naomba tuhabarishane ukweli hiki cha cha cuf ni watu gani walioanzisha na kuja kumfikia seif sharifu kuwa ni mwenye chama kindakindaki.
mimi kumbukumbu zangu seif hakukianzisha hicho chama kuna watu kama sikosei kutoka nzega.
mwenye kuelewa vizuri atudadavuliwe vizuri tuelewe.

nawasilisha wadau
Chama hakianzishwi na Mtu ila watu, ndio maana kuanzisha chama lazima upate watu kwenye mikoa yote Tanganyika na zanzibar hio ndio sheria
 
Back
Top Bottom