Nani aliagiza dr. Ulimboka ateswe?

Slaa aliagiza Dr.Uli auwawe ili itokee fujo, si alishasema hii nchi haita tawalika.
 
nenda kachukue posho yako,kazi uliyoagizwa umeisha maliza.
 
Slaa aliagiza Dr.Uli auwawe ili itokee fujo, si alishasema hii nchi haita tawalika.
umesahau sana,punguza mawazo.HAYA ANDIKA Hivi sura mbaya,roho mbaya kwa kushirikiana na yule aliyewahi kuambiwa na maalim self sharif hamad akagombee umiss 2010.
 
Madaktari wamerudi kazini lini kijana?eeh?

Mpe mkuu, mpe. Kama hata wanaojua kusoma na kuandika wanaweza kudanganywa na wanasiasa, tutegemee nini walioko kijijini? Hopeless Tanzanians, kumbe kusoma shule hakusaidii mtu kujfikiri na kutafuta ukweli. Ati kwa kuwa wanasiasa wanamwambia hivyo basi ndivyo. Atalijua linchi la TZ.
 
Inasikitisha kuona tz bado kuna mijitu ka wewe,yenye fikira dhaifu kama wewe! Unatumwa??
 
Nitatoa kauli kesho. Liwalo na liwe. Baada ya kutambua hajafa sorry kauli sitoi. Akili mkichwa.
 
Jamani kuna tetesi mimi nazisikia kuwa DK Ulimboka amepigwa kwa maagizo ya wale wafanyabiashara waliokuwa wana tenda na wizara ya afya wakati wa Nyoni,tenda hizo zote hiyo zilifutwa na wadai yote amesababisha Ulimboka,nilisikia maneno haya yakiongewa kwenye baa moja dar,sasa sijui kama ni kweli au ni fiksi za watu
 
kauli ya pinda imeweka wazi kuwa serikali imehusika na kupigwa kwa dr ulimboka
Hilo halipingiki milele na tutalifuatilia mpaka kieleweke
 
mkuuu mbona jibu rahisi sana ni pinda kwani kama ulifuatilia alisema ; nanukuu
serikali itatoa tamko kesho kuhusu mgomo wa madaktari na kusema atayekiuka na kitaloliwa na liwe
 
Unaweza kufanya ngono kwa siri lakini huwezi kuugua ukimwi kwa siri.
 
KWELI WANADAMU NI WABAYA! HAWAJUI KISASI NI CHA MUNGU? HAWANA HOFU YA MUNGU HATA CHEMBE. HAO WANA WA UOVU KAMA HAWATALIPWA HAPA DUNIANI BASI WAJUE HUKO MBELE YA SAFARI KUNA TIMBWILI UNLESS THEY REPENT SERIOUSLY AND CHANGE.
Dr. Ulimboka Mungu akuponye maana yeye hashindwi na jambo!
 
TISS kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…