Nani alaumiwe?

u cant generelize kua wapo hivyo bt as long as huyo mume ni mtu mzima decision anayo mwenyewe na kuepuka tamaa zake
Sijui kama umeinielewa.
Hivi...hata yule jamaa aliaminiwa na mkewe. Pengine akiwa home ni mtu decent sana. Sasa sijui alikuwa ni shetani au ni tabia yake, au ulikuwa mpango mahususi kwa huyu binti tu.
 
Mimi nilichukua hatua....kwa kuhakikisha yule binti anakua salama kwenye mikono ya yule jamaa mwingine. Hapakuwa na ulazima na mimi nibaki hapo pengine hadi watakapoondoka, kwani hata ningefanya hivyo bado kuna maeneo wangebaki peke yao watatu wale...nisingeweza kuwa nao mahali pote muda wote.
 

Sijamaanisha wewe ubaki hapo, kuna vyombo husika vya usalama ambavyo vinahitaji taarifa yako tu na wala si uwepo wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…