Hili la umeme sitaki kuamini kuwa ni mfupa uliomshinda fisi. Nalo litapatiwa ufumbuzi wake ni suala la muda tu. Hata hivyo kero nyingi za kuhusiana na umeme tulizoziishi huko nyuma zimepungua kwa kiasi cha kutilia matumaini.
Tuko wa hanga wa yale mambo ya richmond wala sitaki kukumbuka mgao wa umeme wakati ule na pata hasira sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.