NANI ALAUMIWE???

ketete

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
792
793
tuliaminishwa kwamba VAT iliyowekwa haitamhusu raia bali kampuni husika.

lakini kwetu wanyonge makato ya hela za mitandao na huduma za kibenki zinaongezeka kila uchao.

57e82d1fc9748ef62a3e37fb2f9a80c3.jpg
171928f949c3fe72e3bdf0837edcd90f.jpg


hivi nani atusaidie watu wa chini??
 
Tulaumiwe wapiga kura
Tena wapigakura waliaminishwa kuwa push up zinaleta mabadiliko ya kweli kumbe tumeungana na mawazo ya prof J aliyesema mtu anaenda mbele hatua mbili kisha nyuma hatua kumi kisha anajipongeza bila kijali hatua nane alizopoteza.Wacha tuisome nambaaaaa eee fisiem mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom