Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!
Hamy D
najua chadema ni watuhumiwa no moja, swali langu ni kwamba serikali mbona imekaa kimya huku inatambua chadema wanakiuka sheria ya haki za binadamu? hebu sema kitu juu ya ukimya wa serikali
HAMY-D, better to remain silent and appear a fool than to open up your mouth and remove all doubt. Kama ningekuwa Invisible ningesema ficha upumbavu wako...hivi ni balaa gani inayowakumba wanaoshabikia CCM?Dada yangu, Naweza nikasema ukimya wa serikali ni kwa lengo jema tu!
Kwa maana gani; unajua hapa nchini chanzo kikubwa cha kuanzishwa mfumo wa vyama vingi (ukiachilia mbali shinikizo la US kwa hayati mwl Nyerere) ni kupanua wigo wa demokrasia.
Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!
HAMY-D, better to remain silent and appear a fool than to open up your mouth and remove all doubt. Kama ningekuwa Invisible ningesema ficha upumbavu wako...hivi ni balaa gani inayowakumba wanaoshabikia CCM?
Mwalimu Nyerere kang'atuka mwaka 1984 na mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka 1992, sasa hilo shinikizo alipewa kama nani? Nyie vitoto vilivyozaliwa na kulelewa ndani ya mfumo huu wa kifisadi mna laana si ndogo, kutwa kupayuka ovyo...mnachosha!
Hili swali mbona liko wazi sana?
Bila ya CHADEMA kuleta tabia yao ya maandamano, kukaidi maagizo ya vyombo vya dola na ugaidi sidhani kama raia wa Tanzania wangeuawa na polisi.
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na sio matakwa ya CHADEMA!
Serikali inafata sheria haijakaa kimya na ndio maana unayaona haya:
Ingekuwa wakati wa yule mzee Dikteta watu kama hao usingejuwa wamepotelea wapi.
Masikini hata demokrasia hujui. Vyama vingi si hisani ya chama tawala kwa watanzania. vyama vingi viko kikatiba Na kisheria. Enzi za Mwalimu hakukuwa Na katiba wala sheria ya vyama vingi.
Nyie ndio mnaodhani Ukiwa mwanachama Wa chama kingine zaidi ya CCM ni Uhaini!
Ndugu yangu amka usingizini