Nang'atuka rasmi kutoka CCM


Pole sana Mkuu kwa maumivu
 
Laana kuua huwa inamrudia muuaji.Msishangae kwenye kampeni ijayo baada ya hii ya Arumeru yatasemwa mengi zsidi ya hayo. Kuwatumia wazee kwenye kampeni ndo madhara yake.
 
Naona ulichelewa. Hakuna mtu makini anaweza kuwa mwanachama wa CCM. Hata hivyo inabidi ukubali kuwa ni Nyerere huyo huyo aliyewaumba na kuwalea hawa wauaji wa wenzao. Sasa wamegundua polonium kuwamwakyembe wenzao sijui nani atapona. Uzuri ni kwamba watamwakyembeana, kukolimbana, kukombeana, kuchifupana hata kumwaikamboana. Vita ya panzi neema ya kunguru.
 

Wewe Lukolo kweli..........mauaji ya siri namna hiyo unataka evidence ya aje. Evidence anayo muuaji so mwambie akili kuwa aliua.....watu wanaua live lakini wanakanusha kuwa hawajaua na wanashinda kesi we vipi.Chenge alipogonga mtu...akafa haya nambe chenge yuko gereza lipi?
 
pole sana ndugu yangu, kuhusu kuhusika na vifo vya hao wote siwezi kuthibitisha, lakini cha balali nashawishika kuamini, kwangu mimi kuwa mwana chama wa chama chochote huwa naona ni kama kujitia wazimu bure, maana siasa ndivyo ilivyo.
wanasiasa wako tayari kufanya chochote ili mradi walilokusudia litimie.
mfano huyo anayeitwa eti waziri mkuu mstaafu, alivumilia matusi yote juu ya kashfa ya ric***nd- cha kushangaza leo anashuhudia kuwa alimshauli presda kuoingia mikataba hiyo. hata hao wanaojinadi kuwa wanaweza kuboresha masha yetu wakipata rungu watafanya hayohayo....
 

Nenda CHADEMA ukazidi kushangaa KIFO cha CHACHA Wangwe
 
kamugisha nakpata vzr sana,we ni mweupe au mtupu kichwani!weka namba yako ya uanachama hapa ya ccm,acha porojo,

Ndugu yangu uisome vizuri article yake kwani ameweka nambari yake ya uanachama ambayo ni 1267
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…