nakupenda hubby wangu ndio maana najikorogea juice ya omo bila mshirika! mbona sikusomi sasa mtaa wa pili, kwanza nakuPM nijibu ss hivi,m ole wako uchelewe,hupati pango lako leo!Khaa! Wife mkali lol. Sasa bestee Maumba si alikuwa ana uchu wa kulambamo wanaume vinyeoni. Huoni umenitusi?
hata mi nipo without! nakuja kwa kupaa kama superman!Mi nshavua, nakusubiri wewe nikulengemo.
hapo chacha, haaaaah! hivi nikumbushe tena hapa chai zetu twanyea wapi tena? na je our next outing ni wapi tena? hakyanani nataman kama kesho irukwe iamkie ijumaa lol! can't wait for that my dearest.
hivi hata wewe msiri wangu?? lol! hope utanifichia siri kwa Kaizer ma swtlo. si wajua jaman huyu n shem.
We mkuwadie my wife tu. Ntakuja shusha mtu mshipa huko sijui mamserena kwenu. Afu cacico be careful.... Am watching closely.
mwahhhh my dear! umefika salama?nakupendaje sasa mamitoooo! yaani wewe tena? full raha nikiwa na wewe aisee.
khaaaa! hivi unasahau kwamba wewe moja n shemeji ila pia ni mzazi mwenzangu? why shld i do that for you?
ngoja tuendeee kupeana darasa la jinsi ya kukuza vidume na vijike vyetu ili vije viwe vi wapenzi bora.
baby wangu hakunaga kama wewe, na unalitambua hilo! nakupenda na mwenyewe unajua, hata wake wenzangu wanajua mke mdogo kwa kudeka ndiye mwenyewe, so bby wangu kuwa na amani huyo gfsonwin hata aje na vasco, HAWANIPATI NG'O!We mkuwadie my wife tu. Ntakuja shusha mtu mshipa huko sijui mamserena kwenu. Afu cacico be careful.... Am watching closely.
amen hubby! Amen lolmabinti zangu nshawapeleka misheni wawe watawa wa nadhiri ya maisha. Wataolewa na yesu.
baby wangu hakunaga kama wewe, na unalitambua hilo! nakupenda na mwenyewe unajua, hata wake wenzangu wanajua mke mdogo kwa kudeka ndiye mwenyewe, so bby wangu kuwa na amani huyo gfsonwin hata aje na vasco, HAWANIPATI NG'O!
Nijiamini huku nikiangalia wife anachakachuliwa? Lol
habi habi bibi, ushosty usifikie kwenye kashfa kwa hubby wangu lol, tena uwe na adabu kabisaaaaaaa!mbona hajiamini kiasi hiki huyu hubb wako? Natilia shaka ................
bby wangu asikupe mawazo, atajichakachua mwenyewe, mie mke wa tatu tena kwa wengine nataka nini, na hapa full madeko??Nijiamini huku nikiangalia wife anachakachuliwa? Lol
habi habi bibi, ushosty usifikie kwenye kashfa kwa hubby wangu lol, tena uwe na adabu kabisaaaaaaa!