Wale siyo wazee, hii sredi haiwahusu... Kura ya kwanza hiyo. Senkyu!Babu The Finest Yuko wapi???
Au list ya "counter ya juu" imekatwa
Pamoja na mkuu Teamo..
Anyhow , you have my vote 🙂
Kura ya pili hii.... senkyuaaaaaaaaaaaaah babuuuu!!umependeza sana kasoro hujashave ndevu tu,af bila kidhibiti mwendo hakitoki kitu babaangu we.kama huna ninazo kwa pochi...........
Kura ya tatu... huruhusiwi kuvotia mtu zaidi ya mmoja. Hii ingeweza kuhesabiwa kama imeharibika lakini kwa kuwa weye ni mai waifu hii inaangukia kwangu. Ya tatu!! Senkyuuu!!nimekuvotia hubby wangu, then Kaizer shem wangu wa ukwee naye nimemvotia, lolest!
Babu The Finest Yuko wapi???
Au list ya "counter ya juu" imekatwa
Pamoja na mkuu Teamo..
Anyhow , you have my vote 🙂
ummu kulthum upo best?? hubby Asprin hebu mpe cheo ummu kulthum usafishe nyotaye kwanza, alitembea na vizuruda wakampaka nuksi au we ndio DaJane?
Usiniambie kumbe ummu kulthum kishaachana na nanihii? LOL Kweli yanipasa kumuosha nyota yake... kam zis way ummuummu kulthum upo best?? hubby Asprin hebu mpe cheo ummu kulthum usafishe nyotaye kwanza, alitembea na vizuruda wakampaka nuksi au we ndio DaJane?
Tatizo Erickb52 kalowea kwa vimwana. Mpaka amalizane na Preta na Blaki Womani ndo atatia timu hapa
Usiniambie kumbe ummu kulthum kishaachana na nanihii? LOL Kweli yanipasa kumuosha nyota yake... kam zis way ummu
ila muandiko wangu haubaliki hubby, umeona ee??
ummu kulthum upo best?? hubby Asprin hebu mpe cheo ummu kulthum usafishe nyotaye kwanza, alitembea na vizuruda wakampaka nuksi au we ndio DaJane?