Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 Feb 14, 2020 #21 Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Taja mwingine, maua yes iokote ilikuwa bonge la hit lakini baada ya huo taja mwingine. Sasa nandy anaz nyingi ambazo ni average. Hivi ni bora kutengeneza faida kubwa sana kwa mara moja au faida kidogo kidogo kwa muendelezo?
Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Taja mwingine, maua yes iokote ilikuwa bonge la hit lakini baada ya huo taja mwingine. Sasa nandy anaz nyingi ambazo ni average. Hivi ni bora kutengeneza faida kubwa sana kwa mara moja au faida kidogo kidogo kwa muendelezo?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,964 Feb 14, 2020 #22 Huyo maua hana wimbo mwingine hit zaid ya huo.. ni kama alibahatisha.... nandy ana song nyingi zilizomtengezea hela.. maua ana mmoja tu Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo maua hana wimbo mwingine hit zaid ya huo.. ni kama alibahatisha.... nandy ana song nyingi zilizomtengezea hela.. maua ana mmoja tu Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 3,960 Reaction score 6,162 Feb 14, 2020 #23 π π π Mahaba Niue
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,025 Reaction score 23,690 Feb 14, 2020 Thread starter #24 Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Swali kuntu Hilo akikujibu nitag
Bella Ciao said: Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE" Click to expand... Swali kuntu Hilo akikujibu nitag
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,928 Feb 14, 2020 #25 'wa sasa' Turnkey said: Technically Nandy ana hit song nyingi kuliko msanii wa kike yeyote hapa Bongo Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
'wa sasa' Turnkey said: Technically Nandy ana hit song nyingi kuliko msanii wa kike yeyote hapa Bongo Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
B babayakembuzi Member Joined Jan 22, 2020 Posts 21 Reaction score 16 Feb 14, 2020 #26 Hivi wew ni demu ao man ??? Kama wew man una mkee na watoto ao ni jemsi delicious ???? Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wew ni demu ao man ??? Kama wew man una mkee na watoto ao ni jemsi delicious ???? Sent using Jamii Forums mobile app
B babayakembuzi Member Joined Jan 22, 2020 Posts 21 Reaction score 16 Feb 14, 2020 #27 exalioth said: Et mzr kuliko yoyote baraan africa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ameshiba msosi wa mama Sent using Jamii Forums mobile app
exalioth said: Et mzr kuliko yoyote baraan africa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ameshiba msosi wa mama Sent using Jamii Forums mobile app
B babayakembuzi Member Joined Jan 22, 2020 Posts 21 Reaction score 16 Feb 14, 2020 #28 pancho boy said: Naona lukole ndo umeanza kazi sasa Click to expand... Hahahahaha na ashapewa kazi ya utangazaji pale wcb ili wa wape kuwabusti mashoga Sent using Jamii Forums mobile app
pancho boy said: Naona lukole ndo umeanza kazi sasa Click to expand... Hahahahaha na ashapewa kazi ya utangazaji pale wcb ili wa wape kuwabusti mashoga Sent using Jamii Forums mobile app
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,277 Reaction score 31,857 Feb 15, 2020 #29 Huyo Nandy kwa Dullah Makabila atasubiri sana.