Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess.
Amefunguka baada ya kushindanishwa na V.Money na Ruby na mashabiki nakusema wote wawili hawapo level yake na amewashauri mashabiki wasimshindanishe na hao wasanii.
Haya mazee hayajioni yamezeeka? nani mwenye time nayo hata wakijibadilisha kwa make up na nywele bandia? sasa hivi tupo bussy na album mpya ninyi zilipendwa bin bakurutu kaeni pembeni zama zenu zimepita
Umeandika kimahaba zaidi '' Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess" give a reply
Umeandika kimahaba zaidi '' Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess" give a reply