Nandipha wa isidingo ndani ya hollywood

Nandipha wa isidingo ndani ya hollywood

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,895
Reaction score
5,308
Habari wapenzi wa filamu za ndani na nje ya TANZANIA, nimeangalia DEATH RACE 3 hakika nimefurahi sana hasa baada ya kumuona dada machachari wa isidingo Nandipa akifanya vitu vyake mule, ni mafanikio makubwa mno inapofikia watu kutoka hollywood wanatambua ubora wako na kuamua kukuweka katika filamu zao, swali langu kwa wasanii wa bongo munalichukuliaje hilo, au ndio mumeridhika na filamu zetu na hatuna mawazo ya kutoka kimataifa?

Ni wakati sasa wakuacha kuiga uigizaji wa Kinigeria na kujiweka katika ngazi nyingine ya uigizaji.
 
Kwani Hollywood wanaigiza kiswahili? NI msanii gani wa Bongo anaweza kutema yai la maana maana wengine hata kiswahili chenyewe mpaka wabane pua sasa kiingereza si watabana mpaka haja ndogo na haja kubwa
 
Ha ha ha kingereza c kujifunza tu,,mbona kuna watu sio wa hollywood ila wanafundshwa na wanaigiza.....kipaji kwanza na utaonekana tu.....
 
Back
Top Bottom