fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Huu ni wakati mpya rejea kwenye blogu yetu upate vitu nasi tuone vitu, hakuna sababu ya kuogapa tena, njoo njooo
Ndo nan huyo Nancyhuu ni wakati mpya rejea kwenye blogu yetu upate vitu nasi tuone vitu,hakuna sababu ya kuogipa tena,njoo njooo
Unaniangusha ujue ooohhh!!!!Ndo nan huyo Nancy
siwez kukuangusha bna nancy baada ya vile visheria uchwara bado angekua ana dunda rahani 😂Unaniangusha ujue ooohhh!!!!
Sasa hapo upo kwenye line ujue safi.siwez kukuangusha bna nancy baada ya vile visheria uchwara bado angekua ana dunda rahani 😂
Nilidhan umeandika "ARUDI" kwa maana Nancy Mitikisiko arejea. Kumbe mdau ulikua unatoa Rai tuhuu ni wakati mpya rejea kwenye blogu yetu upate vitu nasi tuone vitu,hakuna sababu ya kuogipa tena,njoo njooo
Mambo ya wakubwa mkuuNdo nan huyo Nancy
Mbona nasikia imerudishwa “kimchongo” kwa “wateule” wachache mjengoni hapa mkuu 😅Enzi za rahatupu..
Ika wangeturudishia tu.. Diamond PLATFORM ya kikubwa huku huku.
Kwani halipo?kwa nini usingeshauri jukwaa lirudi
Taarifa hizi nazisikia kwako, basi tutulie tu kama tumekosa "TEUZI" [emoji23]Mbona nasikia imerudishwa “kimchongo” kwa “wateule” wachache mjengoni hapa mkuu [emoji28]
RahatupuNdo nan huyo Nancy