cherylsweet
Member
- May 28, 2014
- 15
- 6
wandugu wazimaa?
nina jambo lanitatiza.
Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu. i think am falling in love with him but siwezi kumwambia. naanzaje? ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.
nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa so nagugumia tuu ndanindani. sijui nifanyejeee .
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...
kuna a lot of ways these days...
unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...
sijui hata kutuma sms kama unajua

umepata kaexperience kazuri kwa miaka mitatu ili utudanganye eeh??Kwanza shikamooni/marahabaa
Mie ndo mara ya kwanza kupost mada humu jamvini, yamenikuta. Kuna kijana nampenda mnooo na yeye anajua hilo, hapo mwanzo tulikuwa wapenzi lakini kwa sababu zisizozuilika tukaachana tukaja onana tena miezi miwili imepita anasema ananipenda bado lakini ana mtu ambaye amempromise kumuoa .
Kwa mantiki hiyo basi anaugulia tuu hata usiku wa manane msg zatumwa na nini na nini lakini anasema hatuwezi kuwa pamoja. Akinipigia simu ananambia nampa shida. Anataka kumuacha huyo msichana lakini hajamkosea kitu anaogopa kumuumiza, ila yeye anaumia kwa kuwa hatupo wote.
Sasa nauliza kwanini mapenzi yakoje, kuumiza mtu au kujiumiza mwenyewe. Kwanini apate shida while he is the decision maker?
Hi Good people.
I am new to post in this forum but have been reading for the past 3 years.
I JUST LOOVE JAMII FORUMS. BIG UP GUYS.
kumekuchekesha nini hapo honey? hahaaa
theboss kumbe ndo swaga izo za kumchana mwanaume hahahahahaha tobah nilikua newcomer maana mimi siku ikitokea kumpenda ntamchana live ntamwambia mie nimekumind waweza kuwa wangu hataki anapita hivi...................>
Bi mkubwa tatizo lako ni moja tu, kwa namna ya sredi unazotuletea hapa jamvini yaonesha una upele ambao wakuwasha sana na kamwe huwezi vumilia tena...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/670274-hebu-nielezeni-labda-mie-mshamba-3.html

njia ya mwongo..................
Hebu nielezeni labda mie mshamba
Started by cherylsweet, 5th June 2014 15:20
umepata kaexperience kazuri kwa miaka mitatu eeh??
RE: Hii
Started by cherylsweet, 30th May 2014 12:54
mbon a nimesubiri uniambie naona waishia kutafuna kucha tu....
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...
kuna a lot of ways these days...
unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...
sijui hata kutuma sms kama unajua
usiwe na papara ukisema tu manjonjo yote yanaisha bora ukae kimya
Anataka dudu halaf unamwamvia akae kimya?
acha uchoyo ww