Hahaha duh watu mna majibu makali. Hivi mmenielewa? Nimesema kaniambia nikiforce game atanipiga chini.....mi sihitaji kujua sana kama yeye ni bikra au la! Lengo langu ni kwanini ananibania kwa muda mrefu....maana ni kawaida ya mabikra kubana bana.
Usiforce game ukiwa gentle enough utapewa game tena kirahis kua makin na the way unaongea nae na maswal maswal unayomuuliza maswal mengne yanakera steam zote zinakata