Namuonea wivu dada yangu !!!!!

Kuna Mchizi alinifata na kunieleza kamkubali sana Dada angu. Nilivyo mcheki ni jamaa smart tu.
Nikamwambia karibu. Dada alikuwa hamwelewi ila naona sasa mambo yao ni motooo!!
 
Back
Top Bottom