Namuonea wivu dada yangu !!!!!

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,311
2,000
Jf wasalaam

Hivi mmewai kujiuliza inakuaje ukikuta dada yako kabanwa chobingo na msela/ mshikaji anampiga mistari, unahisi pumzi zimekata ndani na hali flani ya kumind mshikaji gafla inajitokeza???

Ila sisi tukiwa tunafukuzia dada za watu tunaona sawa tu, wakati mwingine tunakosa hata adabu kwa shemeji zetu.

Wenye madada leteni uzoefu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fast Forward

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
469
500
yaani we mtoto wa kiume umuonee wivu dada yako akiwa anatongozwa?
na vipi akiolewa si ndio utajinyonga kabisa
ila ni namna ya malezi uliyopata ndio yanasababisha hali uliyonayo
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,432
2,000
Nakumbuka kila wakisogelea geti au kunivizia walikula wanakula vipondo sana vipondo hasa na kwetu kulikuwa kuna gym basi wakaka ni mabaunsa haswa wamejazia, walikuwa wananiogopa vijana ila hao kaka zangu wanawake zao nawafahamu na wanakuja nashinda nao.
Shikamooni!!
 
doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,311
2,000
yaani we mtoto wa kiume umuonee wivu dada yako akiwa anatongozwa?
na vipi akiolewa si ndio utajinyonga kabisa
ila ni namna ya malezi uliyopata ndio yanasababisha hali uliyonayo
Sio Siri, Mimi nina sister simsifii kiukweli Mungu anajua kudesign.

Afu nikionaga thamani yake ilivyo ya juu, afu mshikaji tu anamnyemelea kizembe zembe huwa namind kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,311
2,000
Nakumbuka kila wakisogelea geti au kunivizia walikula wanakula vipondo sana vipondo hasa na kwetu kulikuwa kuna gym basi wakaka ni mabaunsa haswa wamejazia, walikuwa wananiogopa vijana ila hao kaka zangu wanawake zao nawafahamu na wanakuja nashinda nao.
Shikamooni!!
Asikwambie mtu sis
Wanaume huwa hatutaki kabisa vya kwetu kuguswa

Be it our sisters or our girls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,853
2,000
Jf wasalaam

Hivi mmewai kujiuliza inakuaje ukikuta dada yako kabanwa chobingo na msela/ mshikaji anampiga mistari, unahisi pumzi zimekata ndani na hali flani ya kumind mshikaji gafla inajitokeza???

Ila sisi tukiwa tunafukuzia dada za watu tunaona sawa tu, wakati mwingine tunakosa hata adabu kwa shemeji zetu.

Wenye madada leteni uzoefu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ndo waliwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tremendous

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
3,241
2,000
Ni kawaida najua ukiwaza mambo unayomfanyia demu kwenye 18 huwezi penda dada yako afanyiwe vile!.he heee lakin ndio nature maana shem.ndio anampa raha za dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba mambo unayomfanyia huyo unaemuita demu wako ni ya kikatili kiasi ambacho hupendi yamtokee dadako? Kama hivyo ndivyo mambo yalivyo basi sidhani kama hayo mambo yangefanyika.
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,451
2,000
Katombwee wewe basi mkuu!!

Kwakuwa ni dada yako kuwa mpole fanya yako ateast angekuwa mdogo wako ambae ni chini ya mamlaka yako inakuwa kama dharau, ila dada jitu zima na akili zake unamuonea wivu wa nini mkuu, hasa ukute dada lenyewe halina adabu unaweza ukajikuta mnaishia kugombana ukitaka kumuelekeza..

Ila mkuu nawe si unabananisha dada za watu!! Kamata din tu dani, haina ujanja hiyo mkuu. Kuwa mpole tuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom