namuonea huruma wifi yangu

Ushaota vu.zi so tafuta mmeo uachane na kaka yako, zee zima linakaa. Kwa kakake.
 
Ushaota vu.zi so tafuta mmeo uachane na kaka yako, zee zima linakaa. Kwa kakake.

mume hatafutwi wew!!! untaka nikajiuze tuliza vidole vyako kama u dont feel lyk saying anythng gud
 
Acha ndoa ya watu kama ilivyo.....laaa unatafuta mengine!!!!
 
Sasa unataka uongee na wifi yako nin? Mwenye tatizo si kaka yako? Sema nae umwambie anayofanya si vizuri abadilike! Kumwambia wifi yako haitasaidia na italeta mgogoro bure
 
hama kwa kaka yako... get a life
 
mambo ya ndoa ya kaka yako yaache hivyo hivyo wala hupaswi kuyaingilia ww endelea na mambo yako kama ni ukweli ipo cku huyo wifi yako ataujua tu.
 
sasa kama una maamuzi untaka nini huku??

krapppp
 
Ndoa ya kaka yako iache kama ilivyo, wanajuana wenyewe. Wacha afahamu mwenyewe au aambiwe na wengine.
 
Na angekuwa ni wifi yako anamfanyia kaka yako ivyo, analeta wanaume analala nao kwenye kitanda cha kaka yako ungefanyaje?
Tafakari Chukua Hatua mama!
 
The right thing yo do?
Get a life! Kama unakaa kwa kakako jipange uhame ili uache kumchukia wifiyo. Wivu wa kiwifi unakusumbua. Wewe una mume ama bf? Umeshamchunguza vya kutosha?
 

subiri na utaambiwa uplayer wa mmeo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…