acha kutoa siri za wanaume,
mbona mume wako kila kukicha namuaona na sungura matope kwenye guest house.
Ukimweleza kisha wakaachana utakuwa tayari kumtimizia kakako mahitaji yake yote?
Za mwizi arobaini atadakwa tu karibuni!!kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
Hawezi kutendeka kwasababu hafahamu kitu....kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
"yeye si anajiona matawi..."
Roho mbaya itakuua bro karithi kwa baba yenu so muambie maza kwanza then wifi ili wajue jinsi ya kufanya maana wote wahanga
my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways