Namuonea huruma Abbas Aradgchi

Namuonea huruma Abbas Aradgchi

Aendelee kushupanza shingo ,hajifunzi tu? Kama khamenei kauwawa yeye nani?
Larijani kaded yeye nani?

Mwache aendelee kuwa hardliner
 
hadharan ili wafie imani na tuamin kwamba hawaogopi kifo.
Taja Kiongozi mmoja wa Iran ambaye ameuawa akiwa amejificha kwenye handaki. Wote walikuwa ama kwenye majukumu Yao, ama walikuwa na familia zao nyumbani. Iran hawaogopi kifo. Ndiyo maana unawaona wakiendelea na maisha Yao huku wakiwasindikiza mashujaa wao mitaa ya Tehran katika safari zao za mwisho hapa Duniani.
 
Kuna haja gani ya kuishi kinafki wakati taifa lako lipo vitani??
Acha afe kwa ajili ya nchi yake..
Kifo ni kifo kila mtu atakufa..
Ccm wanakutawala mwaka wa sitini huu hata kutingisha mguu huwezi na wanakutia njaa kweli kweli na cha kuwafanya huna ila unashauri wenzio wabaki wafe.
 
Back
Top Bottom