Namuona Muarabu Al Ahly akiombea Simba SC imfunge AS Vita Dar

Kwani Mechi ijayo As Vuta si anacheza na Ahly?
Simba next round hamna hamna hakosi Point 4, yaan afungwe Cairo, a draw na Vita Kisha amchape Msudan. Atakua na total 11 points jumla.

Waliobaki watahitaji points 7 kufikia hizo 11 za Simba. Yaan washinde mbili na draw moja. Katika hizo mbili za kushinda kila mmoja atavuna point 3 kwa Msudan.

Itabaki points 4. Vita akidraw na Simba atahitaji kumchapa Ahly pale Kinshasa. Na Ahly endapo atamfunga Simba Cairo na Msudan atahitajika kufanya kazi ya ziada Kinshasa.

So atakaeshinda Lubumbashi ndo atakaepita na Simba endapo atafanikiwa kupata Point 4 mzunguko wa pili.
 
Wakulungwa.
Ninachofurahi mimi kwa hatua hii ya msimamo wa ligi ulipofikia sasa,mpaka wanayanga wanashiriki kujadili Simba anatakiwa afanye nini ili kufuzu hatua ya robo fainali.
Ghafla tu wamejikuta wamo kwenye mijadala kuanzia mitaani,vibanda umiza,mpaka kwenye daladala wanayanga na wenyewe wanatoa prediction zao ili Simba ifuzu.
Awapendi ila hali ilivyo wanajikuta tu nawao wamo kwenye msafara.
Wacha ujinga ww.....
msiba wa jirani hauna mipaka kuzungumziwa
 
Kikubwa Simba ashinde michezo ya nyumbani yote 2 na kufikisha points 13 ambazo kutokana na upepo ulivo sidhani Kama kuna team ingine itazifikia, lengo iwe ni kuongoza group na kukutana na mshindi wa pili, tumkwepe mamelodi Kwa kumaliza top of the group lasivyo tukimaliza wa 2 tunaangukia Kwa mamelodi na Safari ya nusu fainali inakuwa tumekula nauli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safari ya nusu fainali inakuwa tumekula nauli
Ondoa hofu mkuu, tutaomba nauli kwenye timu ya Msuva.
 
Game ya jana wame draw kwa uzembe wao wenyewe, wamepoteza nafasi kibao, labda inaweza kuwa kuna figisu za chini hao wachezaji wanataka Mosimane aondoke, wanamchukua poa wakati akiwa na Mamelodi Mosimane aliwagonga 5 walipokutana.
Na mamelodi yamoto mno sasa ivi kawakanda mazembe kwao...
 
Kweli Mosimane anapigwa zengwe sana, hasa na wachezaji wa zamani wa Al Ahly, wale waarabu wanajidai wajuaji sana wakati wao kuifundisha hiyo timu hawawezi.
Jamaa kawatoa shimoni walikaa karibu miaka sita hawana ubingwa wa afrika leo wanamletea zengwe au sababu ya mshahara anaolipwa.
 
Back
Top Bottom