Namuona Edgar Devis kwenye damu ya Pappy Tshishimbi

mwandende JR

JF-Expert Member
Aug 6, 2017
1,091
2,000

Wazazi wako waliposema sasa mwanangu umekuwa walianza kuhesabu miaka yako tangu walipokuzaa au baada ya kubarehe?
History ndy mlichobakiza now....ukiuliza ln....eti ENZI ZA UCHEZA BILA VUATU....mpira hauna HUSTORY ndy maana MASHINDANO YAPO kila kukicha....anzia mwaka 2000 nani TEJA LA MWENZIE.....kama sio PEKUPEKU FC

Sent using Jamii Forums mobile app
 

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
6,312
2,000
History ndy mlichobakiza now....ukiuliza ln....eti ENZI ZA UCHEZA BILA VUATU....mpira hauna HUSTORY ndy maana MASHINDANO YAPO kila kukicha....anzia mwaka 2000 nani TEJA LA MWENZIE.....kama sio PEKUPEKU FC

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana nikawa najadiri na TEENAGER hapa. Umezaliwa mwaka gani wewe?

Rekodi za Mwaka (1965 - 1999) hutaki kuzisikia. Kwamba miaka yote hiyo walikuwa wanacheza bila viatu, Unataka kuzingatia rekodi ya mwaka 2000 (mtoto wangu wa kwanza anapo zaliwa) mpaka 2017(amekwisha barehe tayari).

Narudia tena nina shaka na umri wako, nisiwe nikawa nabishana na mwanangu hapa(Muandiko wako pia unaonyesha.).
 

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
6,312
2,000
Sasa hiyo ya kuanzia 2000 si historia? Na kama ni historia kwa nini ianzie 2000, isianzie timu hizi ziliopoanza kukutana?


1965 - 1999 = Miaka 34 imepita. (Hii sio historia)

2000 - 2017 = Miaka 17 imepita. (Hii ni historia)

Achana naye, huenda ni ka' teenager.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom