Namuona Edgar Devis kwenye damu ya Pappy Tshishimbi

hahahahaha mkuu umenichekesha. Eti chupuchupu. Hebu tumia angalau percentage chache ya uwezo wako wa kufikiri. Kikosi cha Bilioni 1.3 ndo huwa kinabaka vile...tena dhidi ya kikosi cha Milion 450?

Shukuru Mungu Kuwa mbaya wako "Amis Joslin Tambwe" na kijana machachari aliyefungiwa na shabiki wa simba(karia) aiwaye "Obrey Cholla Chirwa" hawakuwapo wote.

vinginevyo mngekuwa mitaa ya msimbazi pale mkiwataka viongozi wenu wairudishe timu mikononi mwenu kutoka kwa "MO".
mkuu unaongea toka moyoni au ni ushabiki tu. Hahaha simba anamburuza yanga hata tukiwa watu 10....hahahaha au umekuwa msahaulifu ghafla
 
mkuu unaongea toka moyoni au ni ushabiki tu. Hahaha simba anamburuza yanga hata tukiwa watu 10....hahahaha au umekuwa msahaulifu ghafla

Hebu uliza MIKIA wenzako nani amemfunga mwenzake mechi nyingi ? Ukipata jawabu ndio urudi hapa.
 
Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.

Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba na mchezaji wa Taifa la Holand Edgar Davis.

Tutegemee tuzo ya mchezaji bora wa kigeni msimu wa 2017/18 kutua mikononi mwa Pappy K. Tshishimbi.
Huyu Jamaa anafanya kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na wachezaji wawili wa msimu uliopita yaani (Niyonzima + Zullu).

Nisiongee sana ngoja nitafakari jinsi Dogo Gadiel MICHAEL alivyomuweka mfukoni Emmanuel A. Okwi.

upload_2017-8-24_13-11-43.jpeg
 
Yule jamaa anaujua mpira, kwa miaka mingi katika Ligi Kuu ya TZ (VPL) sijamwona mchezaji mwenye kiwango kikubwa kama Tshishimbi. Bahati mbaya yake tu umri umesogea, sijui alichelewa wapi, hastahili kucheza ligi hii.
Kiwango cha kawaida kabisa so cha daraja LA Davis umelinganisha kikombe baba na ndoo laiti angekuwa hivyo usingempata Jana hapa tz mind you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu uliza MIKIA wenzako nani amemfunga mwenzake mechi nyingi ? Ukipata jawabu ndio urudi hapa.
hahaha huwa tunatoa vipigo vya udhalili,kama vile kumpiga mtu mkono,au wiki kasoro siku. Hahahahahaha
 
Matokeo vipi??
Huyu mkongo niwe mkweli yuko vizuri, kiango chake sio cha kuchezea yanga! Yanga watamuharibu!
Naamini umeongea haya bila ushabiki. Umeita nyeusi kwa jina lake, wakati Niyonzima yuko kwenye kiwango chake na umri unaruhusu nilikuwa najiuliza sababu ya yeye kuendelea kusota kwenye ligi ya mchangani wakati angeweza kufanya makubwa na time kama Niece au Sampdoria lkn ndo hivyo tena bahati ikafia mlangoni. Huyu dogo ni mzuri bila upendeleo wowote . akiongeza bidii hatadumu Tanzania.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Lililo LA kweli ni kuwa ungefanya players rating na ukampa kama 6 au 9 ni kuwa ktk timu take aliisaidia sana na kufanya isifungwe kama alivyofanya tukaona likewise upande wa pili lkn kumfananisha na Ediga umechemka dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha huwa tunatoa vipigo vya udhalili,kama vile kumpiga mtu mkono,au wiki kasoro siku. Hahahahahaha

Na mwisho wa siku YANGA SC ndio anabeba NDOO YA VPL.

Kuna tofauti kubwa sana kati yetu na nyinyi. WE AIM FOR THE TITTLES, Nyinyi mnalenga kunfunga Yanga tu....na ukizingatia Yanga huyo huyo amekufunga jumla ya mechi kibao & magoli.
 
Jamaa kaziba pengo la Niyonzima halafu kapitiliza. Ni mtamu kuliko muwa wa mtibwa. Hongera kamati ya Usajili ya yanga.
Hajaziba pengo la Niyonzima..Ameziba mapengo ya Athuman Idd Chuji na Frank Domayo..Alivoondoka Chuji pengo lake lilizibwa na Domayo...Alivoondoka Domayo Yanga imekuwa na tatizo la DM..Juma Seif Kijiko na Said Juma Makapu wameshindwa kuziba pengo hilo..Aliletwa Justin Zulu naye kashindwa kuziba pengo...Mara chache Salum Telela aliimudu nafasi hiyo...

Msimu uliopita Haruna Niyonzima alikuwa akicheza namba 8 au 7 hali iliyomlazimu Thaban Scara Kamusoko kucheza namba 6..

Hivyo si sahihi kusema Papy ameziba pengo la Niyonzima..Pengo la Niyonzima kwa sasa litazibwa na Kamusoko pamoja na Raphael Daud na bwana mdogo Gwamaka Edward Mwakalukwa (Maka Edward)...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom