adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa kwa mtu wa mpira ni rahisi kuliona hilo.Kwa mtu yoyote anayejua mpira lazima akubali huyo jamaa anajua.Akija kuxoea ataupiga mwingi sana.Watani mmepata mchezaji mzuri hongereni.