Hii mpya kwangu G55
G55 ipo ktk History yetu na pia ktk Hansard ya Bunge.
Hii mpya kwangu G55
Watanzania hatuna tofauti na jokeri unaloliona kwenye karata
Hakuna namna. Tanganyika lazima irudi.Baada ya kumsikia Askofu Kakobe akihubiri kanisani kwake bila uoga kuhusu umuhimu wa kurejeshwa kwa Tanganyika, natangaza rasmi kumsamehe madhambi yake yote aliyoyatenda kwa kushirikiana na Magufuli kwenye mambo mbalimbali wakati wa awamu ya 5.
Kakobe baada ya kutishwa na uongozi wa kikatili wa awamu ya 5, kwa kuulizwa kuhusu uraia wake na kusingiziwa kwamba anahifadhi pesa nyingi za sadaka kwenye majaba, aliamua kukengeuka na kujisalimisha kwa Jiwe, akajikomba na kuhudhuria hafla kadhaa za Ikulu, na kutufanyia kejeli sisi wapigania haki tuliosimama imara kwa kauli kwamba anakula bata Ikulu.
Lakini kwa kauli zake za sasa, nimeamua kujitokeza hadharani kumuombea msamaha, kwa Mungu na kwa kila binadamu.
Akizungumzia masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Askofu Kakobe amesema kwamba, yapo mambo yasiyo ya Muungano, ambapo kwa Zanzibar yanashughulikiwa na Serikali ya Zanzibar, amehoji kwamba mambo hayo ambayo siyo ya muungano huku Tanganyika yanashughulikiwa na nani, maana Tanganyika haipo na ilishapotea. Kakobe ameona umuhimu wa kuirejesha Tanganyika ili nayo ishughulikie mambo yasiyo ya Muungano kama ifanyavyo Zanzibar.
Kwa kumalizia, Kakobe amewaapisha waumini wake kwa kuwaambia kwamba kurudi kwa Tanganyika ni suala la muda tu, kwa vile suala hilo lina Mungu ndani yake, na ndio maana hata wakati Nyerere akiwa hai kulikuwa na wabunge walioipigania Tanganyika, walioitwa G55.
Mungu ibariki Tanganyika.
Hii mpya kwangu G55
✍️
Hata hivyo SHETANI NI JOKAWatanzania hatuna tofauti na jokeri unaloliona kwenye karata
Ndio nani huyo Njelu Kasaka ameifanyia nini hii Nchi mboni hajampiku Nyerere umaarufu?Basi wewe ni katoto sana maana humjui hata njelu kasaka.
Baada ya kumsikia Askofu Kakobe akihubiri kanisani kwake bila uoga kuhusu umuhimu wa kurejeshwa kwa Tanganyika, natangaza rasmi kumsamehe madhambi yake yote aliyoyatenda kwa kushirikiana na Magufuli kwenye mambo mbalimbali wakati wa awamu ya 5.
Kakobe baada ya kutishwa na uongozi wa kikatili wa awamu ya 5, kwa kuulizwa kuhusu uraia wake na kusingiziwa kwamba anahifadhi pesa nyingi za sadaka kwenye majaba, aliamua kukengeuka na kujisalimisha kwa Jiwe, akajikomba na kuhudhuria hafla kadhaa za Ikulu, na kutufanyia kejeli sisi wapigania haki tuliosimama imara kwa kauli kwamba anakula bata Ikulu.
Lakini kwa kauli zake za sasa, nimeamua kujitokeza hadharani kumuombea msamaha, kwa Mungu na kwa kila binadamu.
Akizungumzia masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Askofu Kakobe amesema kwamba, yapo mambo yasiyo ya Muungano, ambapo kwa Zanzibar yanashughulikiwa na Serikali ya Zanzibar, amehoji kwamba mambo hayo ambayo siyo ya muungano huku Tanganyika yanashughulikiwa na nani, maana Tanganyika haipo na ilishapotea. Kakobe ameona umuhimu wa kuirejesha Tanganyika ili nayo ishughulikie mambo yasiyo ya Muungano kama ifanyavyo Zanzibar.
Kwa kumalizia, Kakobe amewaapisha waumini wake kwa kuwaambia kwamba kurudi kwa Tanganyika ni suala la muda tu, kwa vile suala hilo lina Mungu ndani yake, na ndio maana hata wakati Nyerere akiwa hai kulikuwa na wabunge walioipigania Tanganyika, walioitwa G55.
Mungu ibariki Tanganyika.
AmenHakuna namna. Tanganyika lazima irudi.
Mkuu ndio JF, hilo ni kundi la wabunge chini ya Mh. Mhehe mmoja. Ngoja wajuzi waje watupe historia yake. Ili tutofautishe kati ya wawakilishi wetu wa zamani na wa sasa ndani ya MJENGOHii mpya kwangu G55
✍️
Mkuu mulize Waziri Mkuu wa kipindi hicho cha Mh NjeruNdio nani huyo Njelu Kasaka ameifanyia nini hii Nchi mboni hajampiku Nyerere umaarufu?
Tanganyika will never die!Bring back tanganyika
Ndio alikua Waziri Mkuu Njelu?Mkuu mulize Waziri Mkuu wa kipindi hicho cha Mh Njeru
Mkuu, huyo Bwana alikuwa Mh. Mbunge, kiongozi wa G55Ndio alikua Waziri Mkuu Njelu?
Unanivuruga hio G55 ni code ndio wapi huko G55Mkuu, huyo Bwana alikuwa Mh. Mbunge, kiongozi wa G55