Nikieleza sana anaweza pita hapa akaelewa bure ila nishawahi kumuuliza anadai ananipenda ila sasa maneno na vitendo tofauti.Akikutafuta muulize ni nini lengo lake haswa, kwakuwa umeshajua kipi unapaswa kufanya sidhani kama itakuwa ngumu kwako kuepuka usiyoyataka yatokee.
Ningekuwa najua kwa uchache kuhusu aliyoyafanya ningeshauri zaidi ila sijui ngoja niishie hapa japo napenda sana mzidi kuwa pamoja. Au mwamba hana maisha unayoyataka wewe?
Mkuu,Hahaha................Kwa Usalama wa afya zetu, ni muhimu sana kubugia dawa za pressure na Sukari hasa kama tuna appointment na hawa watoto wa elfu 2
Nimewahi kusikia sifa zao kupitia Mzee mwenzangu ERoni kwamba they are so energetic on bed, na kama hautakuwa jirani na dawa zako za pressure na Sukari unaweza kuamkia Kwa Janabi Muhimbili ππ
Nishamuelewa sbb nisha move on kitamboKama bado anampenda na hajamove on yote hayo ni bure
Mekupata mwayaNarudia tena,,jifunze kumpuuza text zake ona kama za wale matapeli wa tuma kwenye namba hii,,na cm zake ona kama zile zinazoanza na 09........
Hutaki kuongea nae, mbona rahisi sana...block and ignore! Ikitokea akatuma text kwa namba mpya just ignore, kumpotezea mtu ni rahisi sana, unless na wewe unafurahia kusoma texts zake, I know the feeling!!Nikieleza sana anaweza pita hapa akaelewa bure ila nishawahi kumuuliza anadai ananipenda ila sasa maneno na vitendo tofauti.
Kuhusu maisha yake anaonekana ni mlalahoi tu ila nilimpenda hivyo hivyo sbb ndani yake kuna vitu vingi vilinivutia japo yeye anajitutumua nimuone tajiri kitu ambacho kilikua kinanikwaza sbb nilihisi anadhani mim ni malayah wakudanganywa kwa mali wakati nilitamani aniheshimu kama mwanamke ninayempenda yeye kama yeye na ninayehangaika kutafuta riziki yangu kwa njia za halali.
mpuuze tu bwan, ugomvi sio lazima,kuna sehem umeitwa kule hebu twende
Siungesema tu kwamba bado unampenda kuliko unavyo jiteteaAs Salaam Alaikum dear all.
Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.
Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.
Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.
Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.
Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi π€£ na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.
Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.
Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,πnilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.
Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu βΉοΈ kama zamaniπ.
Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.
Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.
Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Kwa kweli, ni aibu kama ulivyosemaMkuu,
Tusisahau dawa za pressure na sukari. Mambo ya kukutwa lodge umenyooka ni aibu sana. Japo mimi na afmbili ni maji na mafutaπ€£
Jipe jeuri tu yakukute!Labda hayo maji ya betri anunue sbb ya wengine but sio mimi
Kwaio mimi hautanifanyia ivoπHiyo stage nishapita na huwa hairudi nyuma kama kansa.
Sikuahidi chochote sitak madeniKwaio mimi hautanifanyia ivoπ
Ila wewe ni mbishi sana, sikupingi ila uhalisia wako unakupinga.Nishamuelewa sbb nisha move on kitambo
Kumbe na humu jf yumo?Nikieleza sana anaweza pita hapa akaelewa bure ila nishawahi kumuuliza anadai ananipenda ila sasa maneno na vitendo tofauti.
Kuhusu maisha yake anaonekana ni mlalahoi tu ila nilimpenda hivyo hivyo sbb ndani yake kuna vitu vingi vilinivutia japo yeye anajitutumua nimuone tajiri kitu ambacho kilikua kinanikwaza sbb nilihisi anadhani mim ni malayah wakudanganywa kwa mali wakati nilitamani aniheshimu kama mwanamke ninayempenda yeye kama yeye na ninayehangaika kutafuta riziki yangu kwa njia za halali.
Daaah π’πSikuahidi chochote sitak madeni
Nini sasaDaaah π’π
Ni mwendo huohuo π€£π€£π€£πKwani aki block moja nyingine hawezi ku block?
Bon voyage πΆπΎββοΈNini sasa
Kweli akutukanae akuchagulii tusiBon voyage πΆπΎββοΈ