Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,237 Mar 4, 2013 #1 Nimefurahi kumuona huyu jamaa hatimaye kwa mara ya kwanza akicheza huu mpira wa Kikapu. Kaza kiatu Mdogo wetu na hii ndiyo tulikuwa tunakuombea kila siku ufanikiwe. Ni furaha kukuona Mbongo mwenzetu ukicheza kwenye hiyo Ligi ya juu duniani, NBA. Hongera sana na usiishie hapo. Angalia hapa: Watch Live Oklahoma City Thunder vs Los Angeles Clippers
Nimefurahi kumuona huyu jamaa hatimaye kwa mara ya kwanza akicheza huu mpira wa Kikapu. Kaza kiatu Mdogo wetu na hii ndiyo tulikuwa tunakuombea kila siku ufanikiwe. Ni furaha kukuona Mbongo mwenzetu ukicheza kwenye hiyo Ligi ya juu duniani, NBA. Hongera sana na usiishie hapo. Angalia hapa: Watch Live Oklahoma City Thunder vs Los Angeles Clippers
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 376 Mar 4, 2013 #2 Big up mkuu nacheki game.
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,237 Mar 4, 2013 Thread starter #3 Poa sana Mkuu. Tupo pamoja ila kwa sasa naona ni Half Time. Ngoja tusubiri tuone mechi zaidi. TONGONI said: Big up mkuu nacheki game. Click to expand...
Poa sana Mkuu. Tupo pamoja ila kwa sasa naona ni Half Time. Ngoja tusubiri tuone mechi zaidi. TONGONI said: Big up mkuu nacheki game. Click to expand...
m_kishuri JF-Expert Member Joined Jan 27, 2010 Posts 1,484 Reaction score 372 Mar 4, 2013 #4 Naangalia game hapa lakini naona mshkaji ameisha wekwa bench. Ngoja ni subiri labda watamrudisha tena.
Naangalia game hapa lakini naona mshkaji ameisha wekwa bench. Ngoja ni subiri labda watamrudisha tena.
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 376 Mar 4, 2013 #5 Naona game imewageukia Thunder
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 376 Mar 4, 2013 #6 It was very close,final score OCT 108 -LAC 104