enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,109
- 3,677
Ukute hata familia yako inakushinda kuiendesha ila upo busy na kumponda SamattaKi ukweli ndugu yetu huyu tunamtetea tu, lakini uwezo wake hauridhishi. Na sio mchezaji wa kwanza kutoka Genk kwenda EPL na kukutana na changamoto anazokutana nazo yeye.
Kuna mtu anaitwa Kevin De Bruyne alichukuliwa na Mourinho kutoka Genk akaenda Chelsea kwa ada ya Pound Mil 8, January 2012. Baadaye Mou akaona kama KDB uwezo wake mdogo akamtoa kwa mkopo kule Werder Bremen, Germany. Jamaa akakiwasha sana kule Germany mpaka Klopp (akiwa Dortmund) akataka kumchukua lakini Mou akamzuia kwenda, akamwambia bado ana mipango naye. Na alinukuliwa kocha wa Werder Bremen (Thomas Schaaf) akisema wangeshuka daraja kama sio juhudi binafsi za Kevin De Bruyne. Ilikua msimu wa 2012/2013.
Lakini KDB alivyorudi Chelsea akacheza game kama tatu tu halafu Mou akaanza kumpiga Bench tena karibu msimu mzima. KDB akaona isiwe tabu akamuomba Mou kwa huzuni sana kuliko aendelee kusugua Bench bora tu amuuze kule Bundesliga mazima maana anaona kama Chelsea haina mipango nae. Anaonekana kiwango chake ni duni.
Mou akaamua kumtupia Wolfburg kwa pound Mil 22, January 2014 kama garasha lililoshindwa kumridhisha. Lakini jamaa akaenda kukiwasha mbaya kabisa kule Bundesliga na kuchukua uchezaji bora huku akiweka assists record (2014/2015). Akiwa Wolfsburg, Offer zikamininika kutoka PSG, Bayern na Man City lakini yeye akaona kwa aina ya mpira anaocheza, Man City ndio itamfaa. Na August 2015, akauzwa kwenda Man City kwa kitita cha Pound Mil 76.
So, Chelsea walimuona hafai kama anavyoonekana Samatta Aston Villa. Lakini KDB hakukata tamaa mpaka leo hii ni miongoni mwa wacheza bora kabisa pale EPL. Na anakaribia kuvunja rekodi ya assists ya Thierry Henry. So samatta needs to deliver outstanding performance bila hivyo watamnyoa siku si nyingi.
Wazungu hawana huruma na mtu asiyeleta mabadiliko kwenye timu. Asijifariji kuwa sababu ya kutokufunga magoli ni kutokupewa pasi na na wachezaji wengine. Atatimuliwa asipojiongeza kujua namna bora ya kucheza epl na kupata matokeo. Kila la Kheri kwake.
Ni mtazamo tu!
mkuu acha ubishi!View attachment 1513567
Angalia katoka GENK kaenda Chelsea akaenda kwa Bremen then akauzwa wolfburg mazima ndio AISHA Chelsea
Kwanza, familia yangu hainishindi.Ukute hata familia yako inakushinda kuiendesha ila upo busy na kumponda Samatta
Jamaa mbishi, pamoja na kuwekewa ushahidi umekomaa tuMkuu ni kweli umepuyanga alitokea Wolfsburg ndio akaenda man city
Alafu bila aibu hutaki kurekebishwa
Mkuu, mleta mada hii, sidhani kama ameileta kwa ajili ya KUMTAKIA MABAYA SAMATTA.Ukute hata familia yako inakushinda kuiendesha ila upo busy na kumponda Samatta
Imedhihirika, yuko uturuki saa hii Fehnebach kwa mkopo akitoka pale utaskia yanga, mara mpoki sportclub mara mwembeni mchikichini mara huyooo hatumuoni tena.Sio kweli.
Imeisha hiyo kwa umri wake ndii imetokaImedhihirika, yuko uturuki saa hii Fehnebach kwa mkopo akitoka pale utaskia yanga, mara mpoki sportclub mara mwembeni mchikichini mara huyooo hatumuoni tena.
Basi tuseme anakuzidi mafanikio kwenye hicho kitu unachomshauri.Kila kitu? No.
Kwanza mou mwenyewe hakumuuza kdb alisema mwenyewe ni bodi ndio iliyomuuza sio yeye walipoenda tour asia akarudi akakuta kauzwa.Ki ukweli ndugu yetu huyu tunamtetea tu, lakini uwezo wake hauridhishi. Na sio mchezaji wa kwanza kutoka Genk kwenda EPL na kukutana na changamoto anazokutana nazo yeye.
Kuna mtu anaitwa Kevin De Bruyne alichukuliwa na Mourinho kutoka Genk akaenda Chelsea kwa ada ya Pound Mil 8, January 2012. Baadaye Mou akaona kama KDB uwezo wake mdogo akamtoa kwa mkopo kule Werder Bremen, Germany. Jamaa akakiwasha sana kule Germany mpaka Klopp (akiwa Dortmund) akataka kumchukua lakini Mou akamzuia kwenda, akamwambia bado ana mipango naye. Na alinukuliwa kocha wa Werder Bremen (Thomas Schaaf) akisema wangeshuka daraja kama sio juhudi binafsi za Kevin De Bruyne. Ilikua msimu wa 2012/2013.
Lakini KDB alivyorudi Chelsea akacheza game kama tatu tu halafu Mou akaanza kumpiga Bench tena karibu msimu mzima. KDB akaona isiwe tabu akamuomba Mou kwa huzuni sana kuliko aendelee kusugua Bench bora tu amuuze kule Bundesliga mazima maana anaona kama Chelsea haina mipango nae. Anaonekana kiwango chake ni duni.
Mou akaamua kumtupia Wolfburg kwa pound Mil 22, January 2014 kama garasha lililoshindwa kumridhisha. Lakini jamaa akaenda kukiwasha mbaya kabisa kule Bundesliga na kuchukua uchezaji bora huku akiweka assists record (2014/2015). Akiwa Wolfsburg, Offer zikamininika kutoka PSG, Bayern na Man City lakini yeye akaona kwa aina ya mpira anaocheza, Man City ndio itamfaa. Na August 2015, akauzwa kwenda Man City kwa kitita cha Pound Mil 76.
So, Chelsea walimuona hafai kama anavyoonekana Samatta Aston Villa. Lakini KDB hakukata tamaa mpaka leo hii ni miongoni mwa wacheza bora kabisa pale EPL. Na anakaribia kuvunja rekodi ya assists ya Thierry Henry. So samatta needs to deliver outstanding performance bila hivyo watamnyoa siku si nyingi.
Wazungu hawana huruma na mtu asiyeleta mabadiliko kwenye timu. Asijifariji kuwa sababu ya kutokufunga magoli ni kutokupewa pasi na na wachezaji wengine. Atatimuliwa asipojiongeza kujua namna bora ya kucheza epl na kupata matokeo. Kila la Kheri kwake. Akazane!
Ni mtazamo tu!
Umri umeenda, halafu akavuta na jiko! Hapo lazima kiwango kitakua ni cha kawaida tu.Tusiongopeane wakuu kwa samatta umri umeenda, mpira na umri ni vitu viwili tofauti
Tp Mazembe kacheza miaka 5
Genk kacheza miaka 4
Aston vill na fernabache kacheza miaka 2
Jumla ni miaka 11
Na wabongo sisi tunajuana kwenye umri hapa bongo lazima alitoka akiwa 24 au 23 na ukijumlisha mpaka sasa anaweza akawa na 35
Age number doesn't lie
Kibongo Bongo sisi mpaka kutoka tunakuwa Tumesha kula chumvi nyingi sanaUmri umeenda, halafu akavuta na jiko! Hapo lazima kiwango kitakua ni cha kawaida tu.