kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
habari zenu wakuu,nina rafiki yangu ambaye nimetokea kumpenda kimapenz bila woga ilibidi nimwambie yanayonisibu lakini kwa upande wake hajakubaliana na mimi ,amesema hatoweza kuwa na mimi kimapenz bali tubaki kuwa marafiki tu na mimi nampenda kiukweli nifanyeje naombeni msaada wenu?