Namuangalia Odinga anavyochambua Finance Bill ya Kenya halafu nawakumbuka akina Zitto Kabwe. Tanzania tuna safari ndefu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Kwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba.

Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen TV namuona Zitto kama chekechea kwa kweli

Lakini Huyu Zitto kasoma Ilboru shule ya Kanisa ile ya Vipaji sasa labda huwa anafanya makusudi

Mlale Unono!
 
Katiba inazuia wewe kuchambua? Kama unaona wakina Zitto Kabwe hawachambui ingia chambua wewe kwani Zitto Kazaliwa ili aje kuchambua bajeti? Anavuta Oxygen kama wewe na ana nanihili kama wewe
 
Kwani odinga anashindana na Zitto siku hizi.
Bro watu hawafanani Odinga anaweza akawa mzuri kuelezea hiyo finance bill ila Zitto akawa mzuri kwenye nguvu za kiume.
 
Kwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba

Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen tv namuona Zitto kama chekechea kwa kweli

Lakini Huyu Zitto kasoma Ilboru shule ya Kanisa ile ya Vipaji sasa labda huwa anafanya makus
Tangu lini Kenya ikawa Tanganyika
 
Mheshimiwa Ruto keshasema yuko palee anawasubiri wabunge wanaojifanya wajanja eti waupinge huo muswada wake; watakiona cha moto😂😂
 
Kwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba

Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen tv namuona Zitto kama chekechea kwa kweli

Lakini Huyu Zitto kasoma Ilboru shule ya Kanisa ile ya Vipaji sasa labda huwa anafanya makusudi

Mlale Unono!
RAILA ODINGA alipaswa kuwa RAIS WA JAMHURI YA WATU WA KENYA 🇰🇪.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom