Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
- Thread starter
- #21
Sawa mnanihukumu ila story bado wajameniMabinti wapya na wageni wa miji huwezi mtoa out akakimbilia kuagiza kilevi.
Sawa mnanihukumu ila story bado wajameniMabinti wapya na wageni wa miji huwezi mtoa out akakimbilia kuagiza kilevi.
Endeleza ili tukuhukumu vizuriSawa mnanihukumu ila story bado wajameni
Desperado ni nini?Na ni bikra akaagiza desperado?
Hahaahahha ila weweEndeleza ili tukuhukumu vizuri


Baada ya kutupa story ilikuaje akamuacha manzi ila aneweka story ya kula tunda kimasihara.Utoto Raha sana
Anatupanga 😂Hahaahahha ila wewe
Afu kucheka kwingiiiiihiki ni nini? stori au hadithi ya kutunga? kwa hiyo unatuchukuliaje we dogo?
Umri huo ni umri wa hallucinations😊Nilijua tu lazima itaendelea maana uandishi wako wa kitoto mno![]()
Blaza umesema hiyo ni Bikra..sisi tumekupongeza kwa kupata Bikra anayekunywa desperado. Hongera sana.huyo ndio wa kwanza na mwishoKaka heading umesoma vizuri....naanzia hapa kila kitu kitakua revealed huko mbeleni