mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Kwani hapo unapoishi hufugi mbwa?Kama bobi yupo we mpige stopu asikanyage unapoishi na siku akija unamuacha bobi aseme naye,ila kama hakuna bobi nambie nikupe ushauri mwingine.
ebu nrushie ako kaushauri kengine maana apa bobi hakuna
Ushauri wa paka mmoja kwa paka mwenzake ?Hakijaharibika kitu hapo,kama bobi hakuna tafuta mmasai kisha mpe picha yake na utoa maelekezo kuwa huyu mtu asikanyage hapa niwepo au nisiwepo na wewe popote utakapomuona unamtizama kama humjui na wala usijifanye hujamuona maana atakufuata,na kama hili pia haliwezekani niambie nikupe nyingine.
Saa zingine hiyo ya kutopokea simu na kutojibu sms haisaidii kuna demu mmoja baada ya kumuacha kwa miaka miwili bado akawa anatuma sms na kupiga simu sipokei/sijibu lakini haachi.relationship ya miaka 3,kuachana kidogo ni ngumu,ingawa mwanzo kwa huyo m.ke atapata tabu,ila baadae atazoea.inonyesha wewe ndio kabisaaaa humtaki tena.kwa maneno yake huyo dada,sikulaumu.labda umwambie umesha move on na una mtu mpya kabisa,akipiga simu,usipokee,na akikutumia msg usijibu.ingawa wadada wengine hawakubali kuachwa kirahisi rahisi.atahangaiika wee,mwisho atachoka mwenyewe
Hajaelewa somo kuwa sasa umeamua kimoja kumuacha,ushauri wangu,mtafute mkae sehemu nzuri,mzungumze na umwambie tofauti na mara zote ulizomsamehe sasa hivi umemsamehe lakini uhusiano ndo umefika ukingoni,na umuonyeshe kwa vitendo si kesho yake akikuambia ana shida na naniii yako we huyo ndo maana anarudi.....LOL,huyu ni mtu umefanya nae mengi kwa miaka mitatu,ni mingi sana wengine hatujawahi kufika hata mwaka na mwanaume kwenye uhusiano na inakuwa ngumu ni wa huyo miaka 3????kwahiyo haitakuwa rahisi,it may take time yeye kukubali,msaidie kukubali bila kumuumiza zaidi.
Ushauri wa paka mmoja kwa paka mwenzake ?
Saa zingine hiyo ya kutopokea simu na kutojibu sms haisaidii kuna demu mmoja baada ya kumuacha kwa miaka miwili bado akawa anatuma sms na kupiga simu sipokei/sijibu lakini haachi.
hello jf....mko poaa
nimerudi tena...sikujua kama kuachaga mtu nayo ni kazi ingine..ni hivi majuzi kati g/f wangu nilieanza nae tangu 2007 wakat npo chuo..tulipishana usemi, ila mwenzangu ana hasira sana..alipanic akaanza kuporomosha hadi matusi ya nguoni...sh.ga mkubwa,mbw.a,na mengine mpaka nikajiuliza huyu mtu ana digrii ya heshima kweli au ndo madesa coz mimi nilikaa kimya..sikumjibu kitu.....
chanzo:nilikatisha mawasiliano nae tangu dec kwa sababu km izo...baada ya siku 1 kaanza kuomba msamaha,kwamba nimsamehe ananipenda sana ni shetani tu alimpitia...ni msamaha aanawakol my friends wamuombee,hadi mama yake ananipigia ila sijamjibu chochote na sitaki kuwasiliana nae...ikumbukwe tu kwamba hii ni mara ya 3 anarudia kosa hilo hilo..nimeona bora nijitoe mazima...ingawa hakubali kbs kuachika na mimi anadai hataweza kupata km mimi!!...nifanyeje apotee simtaki tenaa
hello jf....mko poaa
nimerudi tena...sikujua kama kuachaga mtu nayo ni kazi ingine..ni hivi majuzi kati g/f wangu nilieanza nae tangu 2007 wakat npo chuo..tulipishana usemi, ila mwenzangu ana hasira sana..alipanic akaanza kuporomosha hadi matusi ya nguoni...sh.ga mkubwa,mbw.a,na mengine mpaka nikajiuliza huyu mtu ana digrii ya heshima kweli au ndo madesa coz mimi nilikaa kimya..sikumjibu kitu.....
Chanzo:nilikatisha mawasiliano nae tangu dec kwa sababu km izo...baada ya siku 1 kaanza kuomba msamaha,kwamba nimsamehe ananipenda sana ni shetani tu alimpitia...ni msamaha aanawakol my friends wamuombee,hadi mama yake ananipigia ila sijamjibu chochote na sitaki kuwasiliana nae...ikumbukwe tu kwamba hii ni mara ya 3 anarudia kosa hilo hilo..nimeona bora nijitoe mazima...ingawa hakubali kbs kuachika na mimi anadai hataweza kupata km mimi!!...nifanyeje apotee simtaki tenaa
i know anaumia sana...ila sina jinsi imenilazim coz all i need is happiness..am nt happy wth her..hakuna haja ya kuwa na mtu just to say ur having someone...imenicost hata mimi more than 3 yrs nilitakiwa kwa sasa ndo tuwe tunapanga kuoana...but haipo hivyo...ingawa bado sijajicomit kwenye serious relation na huyu binti mwingine pale but at least i can sense the hapiness...mimi ni tofaut sana na wanaume wengi...siwezag kua na msichana zaid ya mmoja at a time..alifika mahali akaona km ndo nimeshamuoa na anaamua tu lolote kwmba nitamsamehe tu..that simple..but now its over though me pia naumia sana anavyohangaika kuntafuta hadi wazaz wake!! yaani inahtaj moyo sana