Mwanaume kanga naona unataka mkeo awe mwanamke surualiWadau Niko mkoa flani wa kanda ya magharibi kumuuguza mke wangu Sasa nimekutana na rafiki zake ila huyu mmoja nimetokea kumpenda sana yani kaniingia moyoni nawaza kumtia vocal ila nahisi atamwambia rafiki Ake VP nimuingie VP ili asiniumbue jamani si unajua shemeji yangu huyu mtamu sana na nataka kummiliki
Mbona unachanganya maada mkuu kichwa cha habari ......unamtamani.Wadau Niko mkoa flani wa kanda ya magharibi kumuuguza mke wangu Sasa nimekutana na rafiki zake ila huyu mmoja nimetokea kumpenda sana yani kaniingia moyoni nawaza kumtia vocal ila nahisi atamwambia rafiki Ake VP nimuingie VP ili asiniumbue jamani si unajua shemeji yangu huyu mtamu sana na nataka kummiliki