Namtamani shemeji yangu

Namtamani shemeji yangu

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
381
Wadau Niko mkoa flani wa kanda ya magharibi kumuuguza mke wangu Sasa nimekutana na rafiki zake ila huyu mmoja nimetokea kumpenda sana yani kaniingia moyoni nawaza kumtia vocal ila nahisi atamwambia rafiki Ake VP nimuingie VP ili asiniumbue jamani si unajua shemeji yangu huyu mtamu sana na nataka kummiliki
 
Safi sana mkuu nitumie namba ya mkeo ,nikutumie manual jinsi yakutia vocal
 
Basi tufanye wewe ni mke wake, nikufanyie majaribio ili nilete mrejesho??
Tatizo mimi sio wa majaribio
Jaribu kufanya hivyo kwa mkeo alafu utuletee mrejesho [emoji85] [emoji85]
 
Tatizo mimi sio wa majaribio
Jaribu kufanya hivyo kwa mkeo alafu utuletee mrejesho [emoji85] [emoji85]
Kwahiyo kwa kifupi hujaribiwi sio??? Huogopi ukuta wala nini...
 
Kwasababu unamwuuguza mtafutie sumu kisha umwambie dawa afe upete na shemejio
 
Mtimue my wife wako umuoe huyo shemelaaa
 
Back
Top Bottom