Waache kumsema rafiki yangu aisee akipotea humu lazima nilete fujo zisizoumiza.Zero IQ ni kivuli tu lakini Jamaa ana akili nzuri sana na ni ze-comedian wa JF, ngoja nimuamshe aje haraka iwezekanavyo.
Mzee mwenzangu mzee mwenzangu Nipo hapaaaaaaaa.Mara ya mwisho alisikika akisema anafuatiliwa na polisi baada ya kumpa mimba mtoto wa Diwani..
Kama kuna mtu yupo Jirani basi tusaidie pia Kama yupo umwelani basi Afande ampe simu awe anatupostia mavitu ya jelaa




Nipo hapaLeo mbona kapita humu.
Mzee mwenzangu mzee mwenzangu nipo hapaaaaaaaaaWaache kumsema rafiki yangu aisee akipotea humu lazima nilete fujo zisizoumiza.
wanamchakataMzee mwenzangu mzee mwenzangu nipo hapaaaaaaaaa
Naniwanamchakata
Kwani uongo mzee baba?
Nimefunga kiwanda cha uchakatajiKwani uongo mzee baba?

Waache kumsema rafiki yangu aisee akipotea humu lazima nilete fujo zisizoumiza.
Zero IQ hana makuu na mtu yeye ni papuchi tu na chips.Hahaaa...hawataki tuwe tunaongeza siku za kuishi kwa nyuzi zake Mzee Baba Angel![]()