musicarlito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2020 Posts 591 Reaction score 909 Jun 30, 2025 #1 Wasalaam Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha maeneo gani Asanteni
Wasalaam Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha maeneo gani Asanteni