Namtafuta rafiki yangu

Namtafuta rafiki yangu

baba latifa

Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Nilipotezana na rafiki yangu tangia mwaka 2002, anaitwa HABIBA AHMAD NACHILANGA, tulisoma wote tunduru ya leo nachingwea, baadae ye alisoma nachingwea day, baada ya hapo nasikia alienda jkt ruvu. Juhudi zangu za kumtafuta hazijazaa matunda!! Mtu yeyote ambaye amewahi kumuona au kukutana naye naomba anifahamishe. Mawasiliano yangu ni 0714427055.
 
Ashaolewa ,

Tafuta mwengine
 
Back
Top Bottom