~ niliacha kazi nifanye maisha nikashindwa nikaona siyo kesi sasa hivi nafanya mambo mengine,sina pubu tena,sikai masaki Niko mbagala kwa dumba nimepanga chumba kimoja na nusu tulala mzungu wa NNE pamoja na watoto,hawasomi tena shule za medium,nimabaki na funguo moja ya akiba ya gari kama kumbukumbu nilikuaga na gari,napanda dalala au natembea kwa mguu hapa nawaza kodi imeisha kichwa kinawaka kama sigara kipisi,najua nilikukula Mara nyingi lakini kwa sasa ukiniona hutatamani kunisogelea....kama ulikuwa hupendi pesa zangu piga hii namba tuwasiliane +255 4762390 wako wa zamani john magu simbachawene.