Wana Jf, nawaombeni kunisaidia kunitafutia rafiki yangu niliyepoteana naye toka 1998
anaitwa AWADH OMAR MFANGAVO
Kwa mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi posta na simu Dar es salaam.​
Anayeweza kujua habari zake plz nijulisheni kwani mm kwa sasa naishi ughaibuni,