Namtafuta mtu wa moshi

Namtafuta mtu wa moshi

Black cat

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
16
Reaction score
21
Mambo zenu wote.
I hope mko powa mimi natafuta mtu wa moshi ila asiwe mlokole awe anajua mambo ya mji mtulivu.
Kwa maana nashida sio ya mapenzi.
Ni yale yale yakwangu kama upo tayari .
Ni pm
Ila tafadhali usinipm kama uko nautani.
Mi mwana mke.
 
Hayo hayo yakwako mambo gani?
 
Ulikujaga na uzi wa kumtafuta mganga sasa umerudi na huu...huko Moshi wamekwambia ndio kuna waganga ? Wachagga waongo sana huwenda wameshaona fursa kwako
 
Ulikujaga na uzi wa kumtafuta mganga sasa umerudi na huu...huko Moshi wamekwambia ndio kuna waganga ? Wachagga waongo sana huwenda wameshaona fursa kwako
Sio wachaga watu ndio wanamsema yupo huko.
 
Mambo zenu wote.
I hope mko powa mimi natafuta mtu wa moshi ila asiwe mlokole awe anajua mambo ya mji mtulivu.
Kwa maana nashida sio ya mapenzi.
Ni yale yale yakwangu kama upo tayari .
Ni pm
Ila tafadhali usinipm kama uko nautani.
Mi mwana mke.

Ni PM nikusaidie panaposaidika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom