Kila la kheri mkuu,upate sawa na hitaji lakoMimi ni kijana miaka 25
nahitaji mwanamke tuwe kwenye unyumba baadaye, sasa iwe ni kuishi urafiki tu.
Nina project nafanya ningependa anijoin kama yuko na muda au hana lakufanya kwa sasa, au kama atavutiwa nayo.
Sifa zake ziwe
1. Umri usiozidi miaka 29 yaani rika sawa
2. Na usipungue miaka 21
Kiufupi sitapenda mtoto,
3. Sichagui dini wala kabila, wala sura wala cha nini, nahitaji yeyeto ambaye yuko serious na tayari.
Mimi Ni mkiristo mkatoliki, natokea mkoa moja wapo wa kaskazini,
Mimi ni mrefu, maji ya kunde na sio mnene.
Napenda zaidi aniunge mkono project yangu siyo kunifinance hata kimawazo au ushauri na kushirikiana kikazi kama atapenda.
iyo project inahusu masuala ya food.
Ahsante.... PM iko wazi.
Asante Yeah ndio ivo...Kila la kheri mkuu,upate sawa na hitaji lako
Hapo kwenye food ni mambo ya cafe au?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] mwenye vigezo vyako ushawakilisha Mr hataki chura anataka Mrs tu.Mwenye chura atapewa kipaumbele!
Sasa unaweza sema chura afu asiwe rafiki bora.[emoji3][emoji3] mwenye vigezo vyako ushawakilisha Mr hataki chura anataka Mrs tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna chura pita mbali kabisaMwenye chura atapewa kipaumbele!
Amna mwanamke mbaya sema tu basi.[emoji3][emoji3] mwenye vigezo vyako ushawakilisha Mr hataki chura anataka Mrs tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo bora awe smart kichwaniSasa unaweza sema chura afu asiwe rafiki bora.
Likwapi jina la kikeD̸єє S̸єνєη
@dee7tz
·
8h
MWANAUME kumiliki Jf Id yenye jina la KIKE ni hatari sana kwa afya ya akili yako,sifa unazokutana nazo PM toka kwa vidume wenzio zaweza kukupa mshawasha wa kubadili jinsia na ukatamani kuwa na NYABE