Andindilile
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 289
- 145
Nakumbuka mara ya mwisho kuongea nawe ulikuwa mguu nje mguu ndani kwa manoah, Nimeskia umemtosa manoah naona ni wakati muafaka kwangu kurudisha majeshi kwa nguvu zote,...I need you..
Copy: Baba V, gfsonwin, watu8, Judgement, Ruttashobolwa, Kipipi , na Kima Mchanga (kwa sababu maalum)
Andindilile ulipotelea wapi? mm nipo,ndani ya mikono salama ya mwananthropolojia...
Mruhusu hata awe hausi boi...
Wewe Andindilile ngoja Baba V aje hapa kama hutolambwa BAN. mimisa ni mke halali wa mwananthropolojia.
Unapenda makombo?
mpaka mwananthropolojia aridhie..mm sina tatzo
Mimisa. Figa la pili hilo litakuwa bado moja.
Mruhusu hata awe hausi boi...
Mimisa. Figa la pili hilo litakuwa bado moja.
ah ah ah ah ah ah!