Umenifurahisha sana. Chezea w.a.k.w.e..r.e???Tumia Google search au CTRL+F mkuu, waweza kumpata.
Kabla sijakujibu naomba kujua wewe ni mkwerre au mzigua?
[Sasa kabwela ukwele au uzigua wawa tena mimi natafuta mbunge wangu Saidi? Lakini nikubali masharti yako mimi ni Mzigua nieleze nitampata?
Bwanawdogo unamtafuta bwanamdogo? nimdogo sana lazima utumie miwani midogo
Duh, Jimbo la Chalinze litakuwa la R1 miaka 3 ijayo..
Huyo mwizi na tapeli binafsi namdai 2.136mil
Chalinze si jimbo!
Said Bwanamdogo aliacha ukuu wa Wilaya akaenda kugombea ubunge kumuondoa Ramadhan Maneno akitegemea kupata Uwaziri lakini hakuupata. Inawezekana alipata ugonjwa wa sononi.
Maneno aligombana na mkulu. Salma alitoa mashine za kusaga Maneno badala ya ku acknowledge msaada wa mama Mwanaasha yeye akaenda kujitwalia ujiko wa kisiasa pale pera kwa mwarabu. Tangu pale hawakuwa wanaelewana