Ni siku ya tatu (3)sasa tangu nitoe salam zangu kwa wazee na sis wangu tanga...salam zenyewe ni kimbweka kuniahidi atakuja tanga na aongeze nyumba ndogo...lakini sikumpata tena hewani wasi wasi wangu ni kwamba si bure hapa pana mkono wadau kama si wa ROSE ni MAMA BIG,,,Nimpataje huyu jamaa??
OMBI:ATAKAE KUMBANA NAE POPOTE KWA LEO AU KWA KESHO AMPE SALAM NISHAPELEKA SALAM KWA BABU WA KIDIGO (TANGA)CHONDE CHONDE...
nimuone wapi mkuu..siwamjua kwa kubadilisha kona...mpaka avatari kabadili na akinipotea zaidi atakapo badili jina tuu ndio itakuwa mchuzi wa bokboko kutiwa chumvi au mchuzi wa wali kutiwa sukari baba....lakini nna dalili naona kama ndio yeye huyo chini yako???mwiba una mambo wewe pale mnapokutana leo hajafika?
mie nipo tanga tayari
nlikupigia nkakuta ya kiganjani imizimwa ziiiiii
nkabidi niende kagera kwa kina inshomire
ila narudi tanga usizime ya kiganjani
Aaaaahhh mtaalam watokea wapi tena weye yakhee???mi ninkusubiri mpaka natia khofu kwa wamama wa jf si wajua tena mambo yakibadilika na wee huishi kutapatapa na kagera umekwenda kusaka nini tena naskia vibinti vya huko vyanuka pwipwiri ile noma tulizana bwana sie tushafukiza udi tushafunga mapazia ni wewe tuu kutia mguu........mahari takuja elewana ustie khofu waoa mtanga ivoo weye????????wanaokubania vijicho mitego tu ya humuu na preta kaamua KUkaa uuc .h .iii sasahivvii sasa ndo nini

Kuna Nyegelesha duh nimekoma