Habari ndugu?
Ninaomba msaada kwa yeyote anayemfahamu Jeff Dasony, popote pale nitakapoweza kumpata. ikiwezekana namba ya simu, ama mahala anapoishi ama anapofanyia kazi na hata mtu yeyote anayemfahamu nitashukuru sana.
Ni ndugu yangu ambaye tumepotezana naye miaka mingi na ninamtafuta muda mrefu sasa.
Msaada tafadhali.