Wana jamvi naomba mnisaidie kumtafutia rafiki yangu rafiki yake anayeitwa Anastanzia Garonga ni mwanafunzi wa Kidato cha sita Ifunda Girls(EGM)kama kuna mwalimu humu au mwanafunzi yeyote ampe namba hz 0767714744 nitafurahi sana nikifanikiwa kumpata...msaada tafadhari
Hahaha ndio maana huwa nasema sisi Watanzania ni wavivu sana wa kufikiria...kama unajua physical location yake tena ni shule ya sekondari, si utume tu barua kwa njia ya Posta!!!