namtafuta huyu rafiki yangu

namtafuta huyu rafiki yangu

served

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
168
Reaction score
58
za mihangaiko wapendwa? polen na majukumu namtafuta rafiki yangu aitwae Bernadetha Christmas mara ya mwisho tulionana nae musoma mwenye kumfahamu naomba anijuze na kama anamawasiliano nae anipatie thanks in advance.
 
Rafiki tu ndio umtafute kwa nguvu zote hizi????hebu tueleze vizuri ili usaidike
 
za mihangaiko wapendwa? polen na majukumu namtafuta rafiki yangu aitwae Bernadetha Christmas mara ya mwisho tulionana nae musoma mwenye kumfahamu naomba anijuze na kama anamawasiliano nae anipatie thanks in advance.

sijui ndo yule bena aliyenitorokaga!!!!
 
za mihangaiko wapendwa? polen na majukumu namtafuta rafiki yangu aitwae Bernadetha Christmas mara ya mwisho tulionana nae musoma mwenye kumfahamu naomba anijuze na kama anamawasiliano nae anipatie thanks in advance.
Inawezekana hupo humu jamvini, lakini atakujuaje wakati umetumia nick name. Si utuwekee jina halisi humu
 
Back
Top Bottom