We jamaa umepiga cha chuga nini? Huoni kwenye picha kuna watu wawili halafu unasema unamtafuta hyu dada!
Eleza vizuri yupi unayemhitaji.
Anaejua anapoishi au account yake ya instagram au fb au mwenye namba yake.
Tulipotezana kitambo huko tanga,alisema anaenda Mbeya.
We unamjua yupi?Mmoja wapo namjua sasa wewe unamuhitaji yupi kati yao na jina nani.?
Nkimpata mmoja nawapata woteEleza vizuri yupi unayemhitaji.
Unamfanya nini?Duh, pole sana umechelewa sana.
Nipo naye gheto kitambo sana
Naith Kuna Mtu Aliingizwa MjiniUlikimbiwa nini
Hapo wapo wawili mbona mkuu??
Anaejua anapoishi au account yake ya instagram au fb au mwenye namba yake.
Tulipotezana kitambo huko tanga,alisema anaenda Mbeya.